Hongera Mimi mpk Leo sijamaliza a monk who sold his Ferrari ila nikianza namaliza 50pgs kwa sikuMimi napenda sana kusoma vitabu hata page 500 nasoma ni ka book worm fulani hivi[emoji2][emoji2]
Mweeeeh[emoji134]Nina mpango wa kupumzika kwa muda kwanza!!! Thhen nitarudi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hii comment jamaniTeh kuna aunt yangu mmoja kuna siku mtu alikuja nyumbani kwake; hakumkuta aunt. Wakati mgeni anaondoka; akakutana na aunt njiani ndiyo kumwambia kuwa ametoka nyumbani kwake ila amemkuta mtoto wa aunt wa kiume (mjomba). Aunt alikuja kunisimulia hadi anatamani kulia " Mimi naweza kuzaa Mzee kama yule"? Mumewe ni mbegu fupi ya kibena. Nilicheka sana aisee, bado msongamano wa Shikamoo.
Weeeeee!hebu hukooohata mie ni filter na kamera tu dia mie kimbaumbau tu!
Unanipa moyo?[emoji23][emoji23][emoji23]Em muelezee kidogo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Omba yasikukute🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hii comment jamani
🤣🤣🤣🤣🤣 kila la kheri sie ukituma tunakusifia tu as usual selfika hatunaga makuu mbona!Ntakua napost ulizotuma[emoji39][emoji39][emoji39][emoji23][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Yangu ya ile miguu kama V au ya nguo za kwendea kwa Mwamposa?[emoji134]Weka yako kwanza halafu yeye ndio amalizie..[emoji23][emoji23]
Na Mimi pia. Unalijua tege langu?Unanipa moyo?[emoji23][emoji23][emoji23]
Nina mpango wa kupumzika kwa muda kwanza!!! Thhen nitarudi
Lionee!wanyaki mnapenda uchawaaa eehhh[emoji57][emoji21][emoji57][emoji50][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1]Nitasimama na boss ledi iwe jua iwe mvua [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Boss ledi ni pisi kali iliyoumbwa na mwenyezi Mungu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli tena.. kamera zinanisitiri tu mie kimbaumbau Anne akasome!!
Nimekumbuka risala ya kuvaa soksi sasa Leo sijavua soksi since morningnimecheka sababu ushazoea kuvua viatu[emoji2][emoji2][emoji2] haya kesho jitahidi vivae hata nusu siku
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!Lionee!wanyaki mnapenda uchawaaa eehhh[emoji57][emoji21][emoji57][emoji50][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1]
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Weee ni huyo tu na mnyaki feki mwenzie Aristotee🤣🤣🤣🤣Lionee!wanyaki mnapenda uchawaaa eehhh[emoji57][emoji21][emoji57][emoji50][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1]
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Mmmh ngoja nivae vyangu, nilishavua🤣🤣Nimekumbuka risala ya kuvaa soksi sasa Leo sijavua soksi since morning
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Hongera Mimi mpk Leo sijamaliza a monk who sold his Ferrari ila nikianza namaliza 50pgs kwa siku
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Nimekumbuka risala ya kuvaa soksi sasa Leo sijavua soksi since morning
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Yangu ya ile miguu kama V au ya nguo za kwendea kwa Mwamposa?[emoji134]
Mmmh ngoja nivae vyangu, nilishavua[emoji1787][emoji1787]