Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
I feel you ...Asante
Roho imeniuma basi tu sina namna
Kama unapenda picha zikipotea inauma sana ,next time jaribu kuziweka Google photos .
I feel you ...Asante
Roho imeniuma basi tu sina namna
Ingoa google photosAisee nilikuwa nimeshavurugwa! Nimepoteza picha zangu zote plus clip video [emoji134][emoji848]sijui hata nilifanyaje aisee memory haisomi inabidi nii-format upya!
Zipeleke Google drive kikubwa usisahau email yako na password ya email.I feel you ...
Kama unapenda picha zikipotea inauma sana ,next time jaribu kuziweka Google photos .
Kweli kabisaZipeleke Google drive kikubwa usisahau email yako na password ya email.
Good morningView attachment 2167853
Kuna wakati unapitia msoto hadi unakumbuka ulichokula Juzi 🤪🤪🤪
Anyways, Good Morning to everyone here 🌅🥱🚶🚶
cocastic sijui yuko wapi leo
Utasababisha tusione baraka za wadada wengine sasa.Tako Tako boss ledi uwiii🔥🔥🔥🔥
Kiuno nyigu Hadi changu na Cha depal tukiunganisha havioni ndanii..
Chuchu zimesimama nyie🔥
Nishasema humu hakunaa wa kumzidi boss ledii🔥
Mnaona sasa?
Hakuna Cha msubhate Wala nani..boss ledi amewafunika woote🔥
Wapost tu[emoji23][emoji23][emoji23]Utasababisha tusione baraka za wadada wengine sasa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hakiyananiHamna namna nimeanza kupenda maandiko hayo nahitaji kujua Zaid na zaidi
Ah wapi nkamu.Nkamu unaijua social media wewe shauri yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
cocastic sijui yuko wapi leo
Hahaha mama mizagamuo🤣🤣🤣Anazagamuka tyuuuuuu😅😅😅
Changamkien fursa
3 kavu[emoji119]Vifungu gani vya biblia vizuri kwa mtu anaefunga tatu kavu?
khakhaa.....!!Wapost tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Sisi ni chawa tu wa kumpa kichwa boss ledi wetu