Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,818
- 233,249
@mahondaw boss wetu picha yake haihitaji nyongezaAu na wewe uweke ile ya kwenye gauni linalokaaga kwenye begi tufunge mjadala![]()
@mahondaw boss wetu picha yake haihitaji nyongezaAu na wewe uweke ile ya kwenye gauni linalokaaga kwenye begi tufunge mjadala![]()
Shemeji mwenyewe itabidi awe rohoniLile ni la mtoko tu na shemeji
UshindweeeShemeji mwenyewe itabidi awe rohoni
Tutavaa za kwendea kwa Mwamposa
KudadeqView attachment 2167112
[mention]Saint Anne [/mention] picha haiko clear sana,huwa ni nyingi sema sio ndefu ...











Na Mimi wiki hii nipo nasoma somo kuhusu Roho Mtakatifu.
lift ya guta au 😀😀Usitunyime lift boss mweeh![]()
Nkamu nikiona ugali mlenda na dagaa wa Kukaanga apetite lazima ije tu![]()






Uchoyooo. Ngoja waendelee kukudanga🤣🤣🤣lift ya guta au 😀😀
Wanataka damu kwenye maiti.. 😀😀😀Uchoyooo. Ngoja waendelee kukudanga🤣🤣🤣
Usiwanyime🤣🤣🤣Wanataka damu kwenye maiti.. 😀😀😀
😀😀😀 RIP 9.8ms squared inazikwa mazima...Usiwanyime🤣🤣🤣
Kasoro sisiMwili ule au mimi naonaga vibaya? Ila na sisi kwa miili tu hatujambo mweeh
😂
Na hushindwi
Uzuri ni huaminiki
Ni mwendo wa macho ya Rohoni hakuna namnaUshindweee
Mmh mimi mwili ukiamka kufutuka, unaniita shangazi sasa hiviKasoro sisi
Mi nakuuliza weweHahaha muulize kaka ako

Kaka kachana mkekaMi nakuuliza wewe
Tulianza discussion pamoja![]()
Huyu dada ni habari nyingine aiseeSanaaa. She screams class. Na Mimi ntakuwa msafi unisifie![]()


