Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,522
- 235,245
Ngoja nije kukukabe Koo ukohoe vizuri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Koh Koh Koh
Ngoja nije kukukabe Koo ukohoe vizuri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Koh Koh Koh
Jaribu ufweeeNgoja nije kukukabe Koo ukohoe vizuri[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Jaribu ufweee
Hahahaha UncleWakapimwe mikojo kwa mkemia.. tunachapa ma story hapa.. na hayana ukweli ndio maana hii ni chit-chat.. nipo zangu buza kwa lulenge huku.. naishi zangu.. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] sina hata cha kusikiliza mtu sijaja jf kusaka mpenzi.. hii ID yenyewe inaelekea ku expire [emoji3][emoji3][emoji3]
Mdogo angu tutafika mbinguni usiku wa manane. Nimecheka sanaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Aisee pole .. vimeanza ghafla tu ..Nielekeze namna ya kuzuia haya madude aisee
Yananikera mno[emoji19]..vilianzaga vijipu..yaani vina mafuta hivyo[emoji23]
Kudadeq[emoji3059][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Alooo
Wewe ni mchaga halisi[emoji3590]
Sijawahi ona mchaga Hana nywele za kueleweka.
Wewe ni mrembo mno aisee[emoji3590][emoji91]
Punguza Hilo Jani shost[emoji3059]
Imagine mawazo yanalingana[emoji23]Mdogo angu tutafika mbinguni usiku wa manane. Nimecheka sanaaa
Vile vijipu vidogo [emoji19]..panakuwa kama pana mafuta,panatengeneza kipele badaye kinakuwa kijipu ..nikikitoa kikiisha baada ya muda kinaanza sehemu nyingine.Aisee pole .. vimeanza ghafla tu ..
Je huwa unapaka kitu usoni ?
[emoji85][emoji85]View attachment 2167035
Usinitishe hebu 🚶🏻♀️😂 Halafu unakesi..!
Nikisema hapa utapigika kinyama
Ongeza picha ingine shombe wetu [emoji3059]Asante sana[emoji3059]
Hahahahaa
Hizo kama ni chunusi, hazina dawa mkuu, wala usihangaike kikubwa kama ngozi yako ina mafuta tumia lotion maalumu za ngozi yako, halafu punguza kula misosi yenye mafuta.Vile vijipu vidogo [emoji19]..panakuwa kama pana mafuta,panatengeneza kipele badaye kinakuwa kijipu ..nikikitoa kikiisha baada ya muda kinaanza sehemu nyingine.
Kwahiyo vinarotate tu.
Vile vishangazi vidark spots vilikuwaga vichache tu ila naona vinazidi.
Sipaki chochote zaidi ya mafuta yangu ya mgando Vaseline.
Baadaye nikawa natumia haya parachute..
Bora tu usiwe shangazi aiseeeMmh mimi mwili ukiamka kufutuka, unaniita shangazi sasa hivi
Siyo chunusiHizo kama ni chunusi, hazina dawa mkuu, wala usihangaike kikubwa kama ngozi yako ina mafuta tumia lotion maalumu za ngozi yako, halafu punguza kula misosi yenye mafuta.