Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Nimesema wapi jamaniMi sitaki kuamini mtoto mzuri kama wewe upo singo, kwanza uko wapi?

Mambo rafiki .
Nimesema wapi jamaniMi sitaki kuamini mtoto mzuri kama wewe upo singo, kwanza uko wapi?

Habari ya siku nyingi rafiki ?Wana selfika
Mpoo?
Nipo msukuma!! Habari za huko ✋✋😘! Huku kwetu saivi ni saa 07:59 AmBoss Lady. Bado upo?
Tupo Jana mmeomba vocha mmekosa Leo zipoo?Wana selfika
Mpoo?
Akiwekaga mwaka mpya tu mpaka waleo!!Shimba Ya Buyenze wee babuu una tabia mbaya lakini.
Mbna huweki selfie yako na uliniahidi mmmh.
Tupooooo we do miss you alot rafiki!!Wana selfika
Mpoo?
Kioo hakidanganyi mamaNkamu picha zisikudanganye![]()
Salama mkuuHabari ya siku nyingi rafiki ?
I miss you too boss lady❤Tupooooo we do miss you alot rafiki!!
Uwepo hapa madam usikoseTupo Jana mmeomba vocha mmekosa Leo zipoo?
Is there any selfii au watusabahi tu rafiki!???I miss you too boss lady❤
Mida ya wanga ile boss lady nitatupia bonge la selfie matata hadi selfika itikisike😜Is there any selfii au watusabahi tu rafiki!???
🤣🤣🤣🤣will be here waiting aseeh🙇Mida ya wanga ile boss lady nitatupia bonge la selfie matata hadi selfika itikisike😜
Karibu chai.Nimesema wapi jamani
Mambo rafiki .
Nipo salama tu ..Salama mkuu
Hofu kwako boss wangu
Thank you rafikiKaribu chai.