Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,613
- 24,249
Hapo ukipuliza na ka opium black Alooo..ah tumoghele[emoji23][emoji23]
Kuna siku uliweka humu vifaa vya urembo ,,ilikuwa ni vya kufanyia scrub sijui.
Naomba urudie kuviweka nkamu.
ha ha sasa hivi nipo addicted na Scandal yaani natamani niifiche[emoji28] maana kila nikiwa nataka kupaka perfume mkono unaelekea kwenye scandal.
lini hiyo, ngoja nione kwenye gallery kama hamna nikirudi jioni nitapiga picha