Selfika na JF: Snap it. Show it

Sawa controla nimekusoma! Ila ni vizuri wanaume mkibadilisha hiyo mitazamo yenu juu ya wanawake kwa sababu ni wanaume wote mko na hiyo mitazamo hata kama wengine hamuoneshi!
 
Hizi habari nahisi mda wangu ushapita Saint Anne, vijana ni zamu yenu sasa! Yaani kwa uzee huu kupendwa labda pesa ihusike, pesa yenyewe sina...basi tuwaachie vijana na wazee wenye pesa.
Juzi ulisema wanaume mmeumbwa mateso

Mateso kwa mwanamke asiyekupenda,,ila Kwa aliyekuelewa ni mserereko tu mambo yanajipa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…