Nime date na wanawake tofaut toka JF na tuka achana ila hatukuachana kisa walikua magume gume,no way Kuna mambo tu tulikubaliana kwa pamoja kutokubaliana,so we are friends And Perfect Friends (kuna mmoja anapenda sana ni surprise) anajijua...
nina list ya perfect lovers toka hapa hapa JF ila mzinguaji ni mimi,wajua eeeh sio wao(ni mrafki zangu up to date) Wanasoma hii comment.
Sikurupukagi ninapo select someone wa kumvulia nguo zangu aone utupu wangu,huwa natumia Degree zote za darasani na za Duniani, hivyo sijawahi date gume gume (never).
so
reymage comment zangu za nyuma ni reference toka kwa maswaiba ya watu ninayoyaona kuptia thread mbali mbali ila sio reference toka kwangu,Hapa naandika am in a relation na sweet manka toka humu humu JF naomba tu Mungu nyoka asinidanganye round hiii maana na mimi..