Selfika na JF: Snap it. Show it

Brother unakuta tayari umempa moyo , yaani umempenda, umewekeza nguvu, hela, moyo , na pengine muda. Unakuja kushtuka Baade kidogo kwa signal ndogo ndogo fulani amemlala, fulani amemlala na fulani pia!!!!
Brother najua unajua ukiweka moyo sehemu alafu ukutana na matarajio kinyume!!!

Ila mwanamke aisee mpaka anamaliza safari yake ya maisha anakuwa amepitiwa na wengi sio kidogo.
 

Umeandika kwa unyonge na hisia sana bro. I feel you lakini ni mambo ya kawaida tu mbona? Unakausha tu na mambo yanaendelea. Ukiona majamaa yaliyomla bado anataniana nayo kiroho kinakuuma ila unajikaza. Ndo uanaume huo! Au yakikushinda unapiga chini na unapumzika mitandao kwa muda
 
Hakuna usafiri wa hovyo kama huu
Nadhani wanahitaji mabadiriko kidogo ya management ili kuendana na kasi ya maendeleo iliyopo.

Hawa Jamaa ni kawaida kukuta mnakaa kusubiri flight 🛫 hata zaidi ya dakika 45 au saa Zima.

Nadhani tuendelee kuwapa changamoto ili wabadirike, vinginevyo shirika litakufa wakati tumetumia zaidi ya 2.0 trillion hivi karibuni kulijengea uwezo
 
Jumapili nyingine tena MUNGU ameileta kwetu,kutupa nafasi ya kuutafakari ukuu wake.
Ni muda mzuri wa kuyafurahia maisha,kusamehe,kujifunza,kusawazisha na kujenga upya palipo bomoka.

Zaburi 40:4-5
[4]Heri aliyemfanya BWANA kuwa tumaini lake,
Wala hakuwaelekea wenye kiburi,
Wala hao wanaogeukia uongo.

[5]Ee BWANA, Mungu wangu, umefanya kwa wingi
Miujiza yako na mawazo yako kwetu;
Hakuna awezaye kufananishwa nawe;
Kama ningependa kuyatangaza na kuyahubiri,
Ni mengi sana hayahesabiki.

Ikawe jumapili njema kwetu sotee.
 

Attachments

  • caf6594734e24a6faf9d18937fd051c5.jpg
    35.5 KB · Views: 15
 
Ikoloye

Ong'waga gasebu nolo ganelezu


Pee in what
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…