Huu ni moja ya uzi ambao sitokuja shangaa miaka 10 mbele ukawa na shuhuda nyingi sana watu walijuana kupitia uzi huu na wakawa na mahusiano.
ni uzi flani upo kimasihara na usipokua makini yale ya kina rikiboy huwa applied thru huu uzi,ni ka Uzi flani kenye hadhi ya kuitwa KAMBA na sio UZI.
Kauzi flani ukitaka jua tabia ya umpendae unaingia na kusaka comment zake,Balaa ni kwamba akiwa ni type ya wale wapenzi wasomaji,hutoambulia kitu,yote kwa yote napenda sana hii thread japo kuna watu siwaoni kbisa hadi unatamani umtag umwambie si Uingie nawewe uzi flani,ila ndio hivyo uzi umefika page ya buku 8 ila kuna raia hazijawahi tia hata Nukta..
Mkue makini na Relationship zinazoanzia huu uzi, 98% zitakuja Fail staki skia thread za malalamiko Tabia za watu wa thread hii ni real ukiona mtu anasema anapga vyombo ujue n mpga vyombo kweli,jichanganye ufkirie ni padri au ostadhi.
Ukiona mtu anasema anapenda bangi ujue n real him,ukijichanganya nisije sikia lawama kwa wavuta bangi deal na mvuta bangi wako huko huko mlipokutania.
Nilichopenda kikubwa kwa uzi huu ni watu they are real,akikupostia vidole ujue n vyake kweli,akipost viguu ujue n viguu vyake kweli Japo wapo wanaotupanga ila wengi wa wachangiaji huu uzi wako real sio waongo waongo, Ukiona kamtu kaongo kanapost vtu vya uongo uongo ujue n kageni kwenye huu uzi.
Ila kinachoniboa ni wale wapost picha halafu wanafuta ukigusa unakutana na "ooops" yani ktu ishaondolewa mnaniboaaaaa,mkipost pcha msubiri nione ndio muwe mnafuta,kuna watu kila wakipost nikijaga nakuta washaondoa,kwan hizo pic mnazopost zina deadline ndugu zangu? kuna wat natamani nione hata vikucha vyake vinaonekanaje huko kwingine ntajazia mwenyewe.
Oya mwanangu
Mshana Jr kama ni tuzo ya Uzi BORA nadhani JF hamna na hautokaa utokee uzi BORA kama huu sijui uliwazaga nini? sazingine mi ndio mana napenda uchawi na ushirikina,ukute wachawi wako walikuotesha ufanye hii eeeeh (sema mimi sipendi ushrikina mshana) ila kwa huu uzi uligusa engo yenyewe.
Uzi bora wa wakati wote,Uzi wakuutoa huuu najaribu kufikiria sijui labda utatokea ila huu uzi nauona mpya kila siku hauchakai kila siku unazidi kuwa mpya maana kuna new comer zinaingia zikitupia vitu unajikuta unatoka kwenye reli kabisa,unaanza kukafatlia kenyewe tu.
Mods wana enjoy sana nina uhakika Mods w JF wamejaza gallery zao na pic toka kwenye huu uzi,mana hata wao wanatamani sana kutuona sisi waandishi ila ndio hawna access Ashukuriwe mshana mtoa access ya watu kuona vilivyo jificha.
eti nani kamuona mdada anajiita
Sakayo nishtulieni mkimuona,mwingineee
Kasie mwambieni arudie tena huyu bibi mjukuu wake nataka kumuona, eti nauliza
FaizaFoxy kashawahi jiselfisha humu? kama kashawahi naombeni location (page no and comment no) kuna watu natamani sana kuwaona, Kuna kajamaa kanajiita
GENTAMYCINE hivi ashawahi jiselfisha humu au basi huyu n mwananchi mwenye hasira zake.
Nani bado sijamtaja?
Shunie changamka changamka, wengine nilio tamani wajua wamebadili ID majina, hamna kitu inakera na Baadhi nishawajua majina waliyotumia ila ndio washantoka tena,Mtu real habadli ID kama chakula, sifa ya mtu wa kweli husimama na ID ya jina 1 mliobadli majina mshanitoka ila ndio mshaniboa, nisije msahau huyu furushi
Espy Eroni nakapenda haka kadada sema sijawahi kafumania humu kila niki click image zake holaaaa..
Numbisa mama la mama,Jitoe ufahamu uni tag basi ukijiselfisha,imetosha kwa LEO kongole kwako mshana.