Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Ngoja nikufunguliePm nimeifunga , wewe yako ipo wazi ?
Ngoja nikufunguliePm nimeifunga , wewe yako ipo wazi ?
Yes Uncle nipoNakuona Uncle![]()
Aniamkie kipindi hicho nina ka baby kangu ka 2Kabisa Ni kadogo ka 2007
OkayNgoja nikufungulie
😌😌😌 Malkia Nuzulati usinyanyapae hivyo nipe mtihani mwingine.. wewe ndio mdogo wangu natakiwa kukutunzaYes tena anaweza kuwa mdogo wangu wa mwisho😬
Hahahaa mkubwa bwana usimnyanyase Sana he is a real manAniamkie kipindi hicho nina ka baby kangu ka 2
life is good uncle na Mungu ni. mwema kila saaaYes Uncle nipo
Amen ..life is good uncle na Mungu ni. mwema kila saaa
Why una pambana kumtetea 😂😂Hahahaa mkubwa bwana usimnyanyase Sana he is a real man
Itabidi tuonane nikupe hati ya Ardhi yenyewe 😊😊Hivi ule mtihani wa kuninunulia Ardhi yote ya Tanzania umekamilisha 😬
Kazana mkuu ukishindwa mtihani huu sijui Kama unaofuata utawezaItabidi tuonane nikupe hati ya Ardhi yenyewe 😊😊
😀😀Ndio
Uanamume huo
Sipambani mkuu Ila namjua Ni bonge la mtu SafiWhy una pambana kumtetea![]()
Ya kule beach plot ama?Itabidi tuonane nikupe hati ya Ardhi yenyewe![]()
Nimeweza uje basi uchukue hati yako.. sema na kingine nini unataka 😎😎Kazana mkuu ukishindwa mtihani huu sijui Kama unaofuata utaweza
Hivi aliwahi kuweka picha yako humuSipambani mkuu Ila namjua Ni bonge la mtu Safi
anataka zote na mie nimemuambia aje achukue hatiYa kule beach plot ama?
Picha yake? Sijajua Ila Mimi aliwahi Nipa lift kwenye Jaguar na akanipeleka kula BagaHivi aliwahi kuweka picha yako humu