mapema
JF-Expert Member
- Jul 21, 2014
- 931
- 2,877
Nenda kwenye ndoa kama wajibu, usiende kwa matarajio fulani, wakati mwingine matokeo yanakuwa tofauti sana na matarajio, ukikutana na matokeo tofauti na ulivyotarajia usijali.Bado sipo ..
Ila naona kabisa shughuli yake si ndogo , ni lifetime commitment hivyo inahitaji uvumilivu wa haja kwa wanawake .
Ukitaka mambo yaende vile unataka inabidi uchague moja kati ya mume au wewe kuondoka hapo .
Nikisoma na Mwanzo 3:6 napata majibu ...
Kisha akamwambia mwanamke, “Nitakuzidishia uchungu wa kuzaa, kwa uchungu utazaa watoto. Hata hivyo utakuwa na hamu na mumeo, naye atakutawala.”
Pia usikariri kwamba ndoa inakua hivi au vile kwa marejeo ya vitabu au ndoa za wazee wetu, nyakati zimebadilika mno.
Hata hivyo bado ndoa ni muhimu na nzuri pia.






Nshaisave kwa matumizi ya baadae.



