Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Umo ndoani au unasimuliwa tu na mashosti zako?

Kwa nini ndoa si mchezo? [emoji848][emoji848][emoji848]
Bado sipo ..
Ila naona kabisa shughuli yake si ndogo , ni lifetime commitment hivyo inahitaji uvumilivu wa haja kwa wanawake .

Ukitaka mambo yaende vile unataka inabidi uchague moja kati ya mume au wewe kuondoka hapo .

Nikisoma na Mwanzo 3:16 napata majibu ...
Kisha akamwambia mwanamke, “Nitakuzidishia uchungu wa kuzaa, kwa uchungu utazaa watoto. Hata hivyo utakuwa na hamu na mumeo, naye atakutawala.”
 
Nakuelewa sana. Wanawake wapo wengi wa kupelekea moto tu lakini ukianza kutafuta yule mmoja mteule wa kuweka kambi ya kudumu mpaka kifo aisee ni mtihani mgumu sana wa Cambridge cha mtoto [emoji16][emoji16][emoji16]
Wee babu ni muongo, wako wengi tyuuh wife materials,
Sema myie mnataka wawe na tako lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bado sipo ..
Ila naona kabisa shughuli yake si ndogo , ni lifetime commitment hivyo inahitaji uvumilivu wa haja kwa wanawake .

Ukitaka mambo yaende vile unataka inabidi uchague moja kati ya mume au wewe kuondoka hapo .

Nikisoma na Mwanzo 3:6 napata majibu ...
Kisha akamwambia mwanamke, “Nitakuzidishia uchungu wa kuzaa, kwa uchungu utazaa watoto. Hata hivyo utakuwa na hamu na mumeo, naye atakutawala.”
JamiiForums1648251807.jpg
 
Back
Top Bottom