Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Kesho ntakurekodia ka clipUnaweza kunifundisha mpendwa nije kukuona jinsi vile unaendesha❤️
Kesho ntakurekodia ka clipUnaweza kunifundisha mpendwa nije kukuona jinsi vile unaendesha❤️
We mwanadada wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu weuweeeeeeeh.
Hebu leta hiyo boda mie niizungushe. Aiseeeh kujua kuendesha vyombo vya usafiri raha mno. [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]Si umeniignoo; mimi nikapigwa tu upepo hapo
Mama wa kukanyaga mafuta tyuuuhHebu leta hiyo boda mie niizungushe. Aiseeeh kujua kuendesha vyombo vya usafiri raha mno. [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Ujue nimekaa hapa mapokezi 😊😊Si umeniignoo; mimi nikapigwa tu upepo hapo
Msalimie huyo mwanadada wa hapo karibu yako. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We mwanadada wewe[emoji23][emoji23]
Ubongo huwa unatunza kumbukumbu mi kazi yangu itakuwa kukumbusha😃Kesho ntakurekodia ka clip
Hukuona ka kimbaumbau kamevaa dera hapo kanashangaa shangaa?Ujue nimekaa hapa mapokezi 😊😊View attachment 2165487
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mama malezi.Mama wa kukanyaga mafuta tyuuuh
Mi sijasema kitu sis....
Ubarikiwe tu kwa sababu hakuna namna. Na muda wa kuingia ndoani ukifika Mungu Akupe mwanaume mwema mtakayechukuliana katika madhaifu yote mpaka utimilifu wenu [emoji1545]
Khaa shikamoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mama malezi.
Hapa soon nataka nijifunze kuendesha lorry
😀😀😀😀 watu wakuda sanaaa.. acha nichape. maji nisogee hayo maeneoUngemwambia pumbavu wew maboss Kama sisi hatupimwi kwa macho
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]Nimeona comment yako sehemu ndo maana nikasema hivyo .
Safi Sana tajiri mutoto upo hotel gani nikuagizie mtoto akufanyie massageUjue nimekaa hapa mapokezi [emoji4][emoji4]View attachment 2165487
mie huyu ndio wa kuninyanyasa hivi ☺️☺️☺️.. sawa acha nijiandae niende maeneo pendwaaaHukuona ka kimbaumbau kamevaa dera hapo kanashangaa shangaa?
Marhaba, nataka nijue kuendesha vitu vingi mie.Khaa shikamoo
Nenda mkuu Hawa akina Heaven Sent Wana vipengele vingimie huyu ndio wa kuninyanyasa hivi [emoji3526][emoji3526][emoji3526].. sawa acha nijiandae niende maeneo pendwaaa
Usiogope mdogo angu..Bado sipo ..
Ila naona kabisa shughuli yake si ndogo , ni lifetime commitment hivyo inahitaji uvumilivu wa haja kwa wanawake .
Ukitaka mambo yaende vile unataka inabidi uchague moja kati ya mume au wewe kuondoka hapo .
Nikisoma na Mwanzo 3:6 napata majibu ...
Kisha akamwambia mwanamke, “Nitakuzidishia uchungu wa kuzaa, kwa uchungu utazaa watoto. Hata hivyo utakuwa na hamu na mumeo, naye atakutawala.”