Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,402
Mjukuu bwana. Kila mtu ana wife materials wake anayemtaka. Haya ni mambo tata na huwezi kuyafanyia majumuisho ya jumla. Tako kwa wengine wala siyo ishu kivile. Wengine tu wanataka mtu mwelewa decent asiye na makelele...aaaaarghhh !!!Wee babu ni muongo, wako wengi tyuuh wife materials,
Sema myie mnataka wawe na tako lol![]()



