Selfika na JF: Snap it. Show it

Dada naomba nikutoe out, bill juu yangu [emoji7][emoji7][emoji3590][emoji3590]
Umeongea kitu cha maana mno.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila dada una upiga mwingi mnoo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee fidodido hebu soma hapa lol.
 
Sasa yeye atajuaje kama huyo mtu atamtongoza? Imagine mtu kakusalimia tu; unaanza kumwambia "sihitaji mahusiano kwa sasa". Kwamba Kila me anakuja tu kukutongoza? Au mimi ndiyo sielewi haya mambo, najifanya msemaji wa wanaume?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Boss Lady angekuwepo hapa usingeona mijadala hii ya ajabu ajabu. Picha yake moja tu inazima mijadala yote mara moja. Sijui leo kapotelea wapi. Shida tupu yaani!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nipo msukuma nivile nasoma tu na kupita mie sio muongeaji kabisa.... watu wana freedom of expression msukuma let them speak wasisahau kuutendea haki uzi tu..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa si ufafanue vizuri nawee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…