Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,817
- 233,249
Dogo unasemaje?
Crush wangu anatupia pic next level kwanini uziite za kawaida?![]()



Dogo unasemaje?
Crush wangu anatupia pic next level kwanini uziite za kawaida?![]()



Jana sijui kilitokea nini, nilienda Kitambaa cheupe na pension yangu yote ajabu saivi asubuhi nimeamka na Nauli ya Uber tu 🙆🥱🥱I miss you
Unasema kwamba ulikuwa unarushia watu zile pension?Jana sijui kilitokea nini, nilienda Kitambaa cheupe na pension yangu yote ajabu saivi asubuhi nimeamka na Nauli ya Uber tu 🙆🥱🥱
Missing you too 😘
Nadhani, Kuna muda nakumbuka nilipanda Jukwaani nikaanza kurusha hela kama enzi za pedeshee nanii....🤪Unasema kwamba ulikuwa unarushia watu zile pension?
🤣🤣 kheeee
Eeh hao haoNyasa moja
Una allergy au wa kishua dagaa ukila zakuwasha ulimi😂Situmii mie dagaa.
Kuna kipindi tuliletewa ndoo nzima, aaah dagaa wabaya wale yaan wagumu unatafuna hadi meno yanauma😂😂hao ni dagaa nyasa, ndo hao tyuuh naotumia mie,
Kwetu Songea wamejaa kibao, tena bei rahis, wabichi kwa wakavu..
Kila napotoka home huwa nabebaa had ndoo kubwa, nawala wee had nawamwaga uwiiiih. Na hapo majirani nakuwa nimewagawaia.
Usinikumbushe bhana home lol.
MweeeeNadhani, Kuna muda nakumbuka nilipanda Jukwaani nikaanza kurusha hela kama enzi za pedeshee nanii....🤪
Alafu ilikuwa Kila meza niliwaambia wanywe chochote bill kwangu 🤪🤪
WabayaKuna kipindi tuliletewa ndoo nzima, aaah dagaa wabaya wale yaan wagumu unatafuna hadi meno yanauma😂😂
Nikawachukia kabisa
Siwapendi jamani, ila wakiwa wabichi wanavutia zaidi.Lenie ni hawa hapa dagaa nyasa wenyewe. View attachment 2164486View attachment 2164487View attachment 2164488
😂😂 ndioWabaya
Wachungu
Wapo kama vinyoka
Heri nile ugali mchicha
Jana Kuna mrembo mmoja alikuwa mkono wangu wa Kushoto Kila nilipokwenda alinipeleka, nikilipia vinywaji Chenchi alibaki nayo alisema ananitunzia. Saivi asubuhi simwoni Wala Chenchi hazipo 🥱🥱🥱Mweeee
🤣🤣🤣🤣🤣
Heri lakini umebaki mzima, mzee mstaafu tutafute kazi ya ulinzi sasa uanze kukusanya nyingine
Tichaaa!ticha 9.8Kadri mda unavyo kwenda ngoma inazidi.. acha tupunge baridi tena kifua wazi au sio staff wangu mtiifu Heaven SentView attachment 2164666
😁😁😁 Ticha hapa ni burdan.. mtu akiwa pembeni yako humuoni.. mnakuta mnagongana tu.. yani kunakuwa hakuna namna 😀😀😀
Hali ya hewa nzuri kabisaKadri mda unavyo kwenda ngoma inazidi.. acha tupunge baridi tena kifua wazi au sio staff wangu mtiifu Heaven SentView attachment 2164666