Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kumbe we mlango tyuuh? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mwenzio had uchungu wake, achilia kitanda,
Sio kwa gwaride lile. Afu chupa ilipasuka nikiwa sakafuni,
Na nilijifungua kawaida, ko mziki wa kupush mtoto naujua na kuweza pia.

Am mama Alvin, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Emu nipishe nyau weee🤣🤣🤣🤣

Huna ulijualo…
 
Kumbe we mlango tyuuh? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mwenzio had uchungu wake, achilia kitanda,
Sio kwa gwaride lile. Afu chupa ilipasuka nikiwa sakafuni,
Na nilijifungua kawaida, ko mziki wa kupush mtoto naujua na kuweza pia.

Am mama Alvin, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila wewe🤣🤣🤣
 
Inahuuuu ndiyo [emoji108]

Wazazi tuna chata usoni, tunajuana!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shauri yako.
Utakapojua nilishashusha zaman hutaamini.

Tena wale wakwe nisingezaa mbna ningemezwa mzima mzima.
Sikuolewa kujaza choo, niliolewa kuongeza familia.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mama Alvin mie jaman lol
 
Back
Top Bottom