Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,181
Badae uende salun au huna hela💅
Hazijafanyiwa manicure hata
Badae uende salun au huna hela💅
Hazijafanyiwa manicure hata
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapana bhana Jah kaniniyima appetite ya kutumia vyakula vingi, ndo maana sipendi kwenda ugenini naweza wakera na kusumbua watu buree.Una allergy au wa kishua dagaa ukila zakuwasha ulimi[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aaaah wapi wee mbna wako laini tyuuh, mie nshazoea yaan.Kuna kipindi tuliletewa ndoo nzima, aaah dagaa wabaya wale yaan wagumu unatafuna hadi meno yanauma[emoji23][emoji23]
Nikawachukia kabisa
Eeh hao waliokausha mmh hapana.Wewe kama mimi
Huwa nawatamani tu wakiwa wabichi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha uongo wako wee.Wabaya
Wachungu
Wapo kama vinyoka
Heri nile ugali mchicha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila nyie watu haya bhana.Siwapendi jamani, ila wakiwa wabichi wanavutia zaidi.
Hao wakavu hapana
Hivi pale mbogamboga kwenye kiwanda chetu cha kuzalisha pumba hakuna swimming pool kweli?Kwenye maji....sasa wewe ulidhani ni wapi?
Au unataka ujifunzie kwenye mchanga? [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie uwiiiiiiih.[emoji23][emoji23] ndio
Kwanza ukiwaunga hawana ushirikiano wanabaki wamesimama wima wanakukodolea macho
Hahahaa kweli mazoea, me walinishinda eti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aaaah wapi wee mbna wako laini tyuuh, mie nshazoea yaan.
Sina hela shost 🤣🤣Badae uende salun au huna hela
Ahsanteeeeh sana.Hapo msamala nilikuwa naenda kwa mngoni mmoja hivi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Karibu MOSHI Mkuu
WeeeeHuyo jamaa ameniandama mwezi huu na hilo id lake.
Amelipumzisha lile id lake la mama Debo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wale dagaa jau sana kwa sie tusio wazaliwa na wakazi wa huko.
Hata ukiwaweka nazi, ni kama vile wanaamkaga wanalamba tui lote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanalamba tui[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimechekaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi wee una nn?Walamba tui aisee we ukija dagaa wametoa macho, rojo halina nazi [emoji1787]
Aah mtoto mzuri kama wewe pisi kali unakosaje hela😂Sina hela shost 🤣🤣
Mtoko wapi tena asubuhi hii.? [emoji23][emoji23]Satadei [emoji257]
View attachment 2164713
Napeleka mtoto clinicMtoko wapi tena asubuhi hii.? [emoji23][emoji23]
Watamu hao hatareee.Eeh hao waliokausha mmh hapana.
Japo wabichi sijawah kuwabahatisha sehem, siku nikiwapata nitawakaanga nione