Usinifokee
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,502
- 3,521
Hapo msamala nilikuwa naenda kwa mngoni mmoja hivi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli Songea unapajua, mie kwa sasa sipo huko.
Nipo huku Jijini, ila kwetu ni Songea, Msamala..
Karibu tena Songea. Hahahah
Karibu MOSHI Mkuu