Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuna wale dagaa flani warefu kidogo wana weusi na weupe kidogo af wagumuuuuu.
Hivi ni wa wapi
hao ni dagaa nyasa, ndo hao tyuuh naotumia mie,
Kwetu Songea wamejaa kibao, tena bei rahis, wabichi kwa wakavu..

Kila napotoka home huwa nabebaa had ndoo kubwa, nawala wee had nawamwaga uwiiiih. Na hapo majirani nakuwa nimewagawaia.
Usinikumbushe bhana home lol.
 
Lenie ni hawa hapa dagaa nyasa wenyewe.
FB_IMG_16482439233282597.jpg
FB_IMG_16482440314827141.jpg
FB_IMG_16482439752108719.jpg
 
hao ni dagaa nyasa, ndo hao tyuuh naotumia mie,
Kwetu Songea wamejaa kibao, tena bei rahis, wabichi kwa wakavu..

Kila napotoka home huwa nabebaa had ndoo kubwa, nawala wee had nawamwaga uwiiiih. Na hapo majirani nakuwa nimewagawaia.
Usinikumbushe bhana home lol.
Wasalimu bombei (Bombambili), matarawe, mfaranyaki, mahenge (ikulu ndogo) karibu na Posta Bank jirani na CRDB benki

Nimemisi kwenda Majengo au kule HOMSO (Songea refferal hospital)
 
kweli Songea unapajua, mie kwa sasa sipo huko.
Nipo huku Jijini, ila kwetu ni Songea, Msamala..

Karibu tena Songea. Hahahah
 
Back
Top Bottom