donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,257
- 22,138
Makange ya the cross hayaongopi [emoji2][emoji2]
Ndiyo Mtumishi. Ni kwa Neema tu ndiyo tutauona wokovu...na ametuahidi kuwa hatatupa jaribu lililo kuu kuliko uwezo wetu wa kulihimili. Ushindi ni wa lazima na hakika Mtumishi mwema [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Mtumishiiiii
Anaza shombe shombe in da hausi? [emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2164288
Leo si ndio ijumaa eeh?
Mashallah.View attachment 2164288
Leo si ndio ijumaa eeh?
Oooooooh yes,, the thread is dripin on butter,, bling bling ni kibao yaanAnaza shombe shombe in da hausi? [emoji91][emoji91][emoji91]
Kidogo tuSina shaka nimepitwa na selfie zako lukuki
KhaaaaVitu vyangu hivyo, hapo nikipata na ugali pamoja na dagaa+biringanya vilivyokolea karanga😋😋
Ila mlenda napenda hata na wali unaenda😋
Ukiona mwanamke anapika mlenda jua huyo ni wife matirio.Lenie we endelea tu kuwa wakishua View attachment 2164386
Jinsi nina mapenzi ya dhati na mlendaKhaaaa
Wali na mlenda jamani 🙄🙄
Bosi Ledi keshafika kwenye uzi wake. Halafu ni Ijumaa sasa. Saint Anne njoo usijepitwa ukaja kusema sijakuita.Kidogo tu
ShemejiKidogo tu
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Bosi Ledi keshafika kwenye uzi wake. Halafu ni Ijumaa sasa. Saint Anne njoo usijepitwa ukaja kusema sijakuita.
Karibu sana Bosi Ledi kwenye uzi wako! [emoji122][emoji122][emoji122]
Aliyepika huu mlenda ni fundi[emoji119]Lenie we endelea tu kuwa wakishua View attachment 2164386
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]!!! Habari za uzima msukuma!!Bosi Ledi keshafika kwenye uzi wake. Halafu ni Ijumaa sasa. Saint Anne njoo usijepitwa ukaja kusema sijakuita.
Karibu sana Bosi Ledi kwenye uzi wako! [emoji122][emoji122][emoji122]
Nina uhakika pasi na shaka utaweka tena shemeji aoneKidogo tu
Abee semeji!!Shemeji
Nina imani na boss ledi kuwa anatuanzishia weekend na picha zake kali kama kawaida yakeBosi Ledi keshafika kwenye uzi wake. Halafu ni Ijumaa sasa. Saint Anne njoo usijepitwa ukaja kusema sijakuita.
Karibu sana Bosi Ledi kwenye uzi wako! [emoji122][emoji122][emoji122]