Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,199
Na hakuna photogenic humu ndani kama huyu dadaMpaka utimilifu wa dahari yaani!
Dada anapendeza hata avae gunia
Na hakuna photogenic humu ndani kama huyu dadaMpaka utimilifu wa dahari yaani!
[emoji2][emoji2]hazishtui za kwangu kama za boss wa AnnaHata wewe napishanaga na selfie zako siku hizi sijui kwa nini. Wasukuma wangu wanaendeleaje huko lakini? Senene wanakula? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Absolutely SirHayo ndio mambo ndugu yangu,baada ya majukumu ya wiki unapata muda kidogo wa kutuliza mwili na akili.
Sing like no one’s listening, love like you’ve never been hurt, dance like nobody’s watching, and live like it’s heaven on earth.
Nimemis sana kwenda karaoke.
Balaaaa!kaaahhSipati picha Anne Angekua mzaramo walai!!!!
Boss ledi anastahili sifa zaidi ya hizi.
Na hakuna photogenic humu ndani kama huyu dada
Dada anapendeza hata avae gunia
Ninong'oneze, ulitaka kusema nini?😀😀
Huyo anne kwa kujaza tu mbona hajambo usimwamini kabisa hata chembe!!
✌️✌️✌️✌️✌️✌️✋✋✋ enjoy your night best!!Sidhani kama Bosi Ledi ataposti cho chote tena. Ngoja tu nijiendee zangu. Goodnight everyone...[emoji1545][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Tulishakubaliana kitambo humu kuwa hakuna kama boss ledi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji23][emoji2]
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Umeona eeh, na Leo pamechangamka balaa.Mtoko makini mnoo babuuuh
Maneno yangu ni aminiHuyo anne kwa kujaza tu mbona hajambo usimwamini kabisa hata chembe!!
Kweli bhana shouzzzzzzzz ake. [emoji23][emoji23][emoji23]Awapi!!!
Sawa bwana ila hatuachi kutuma ht siye wengineTulishakubaliana kitambo humu kuwa hakuna kama boss ledi
Nadhani picha zake zinaprove..sasa wote tunaongea lugha Moja.
Wee hapan ni mweupee. [emoji7][emoji7][emoji7]Asantee na filter zinachangia[emoji3][emoji3]
Chawaaa!!![emoji2][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji28][emoji28]Huyo anne kwa kujaza tu mbona hajambo usimwamini kabisa hata chembe!!
Ukichunguza vizuri hao senene unaosema wanatoka Sudan utakuta mahali kuna vimaandishi vile vidogoooo "dried and lightly spiced in France...with halal spices from Israel"[emoji2][emoji2]hazishtui za kwangu kama za boss wa Anna
Hawajambo [emoji1][emoji1][emoji1]senene zimekuja za Sudan this time
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Pendeza sanaaaaa wii 😘😘😘♥️♥️
Nimetuma umeona?Wee hapan ni mweupee. [emoji7][emoji7][emoji7]