Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,818
- 233,249
Bina shkamoo
Umeona lile shepu???
Bina shkamoo
Dah! Hata wikendi yote ishavurugika sasaUmepitwa na picha kaaaliii za boss wetu akiwa ndani ya bakabaka![]()

Umewahi kujaribu?
Huu uzi kubaki hivihivi bila picha ya boss ledi ni ubatiliDah! Hata wikendi yote ishavurugika sasa![]()
Tena picha zako hazikinai kuangalia 🤗Nimetuma mara mbili msukuma!!
Huo ndo ukweli. Anayebisha ana chuki binafsi na anapaswa kufungiwa jiwe la kusagia na kutoswa baharini tu kwa sababu hakuna namna!Huu uzi kubaki hivihivi bila picha ya boss ledi ni ubatili
Nitumie basi hizi zaga 😋👌Vitu vyangu hivyo, hapo nikipata na ugali pamoja na dagaa+biringanya vilivyokolea karanga😋😋
Ila mlenda napenda hata na wali unaenda😋
Hamna imeisha hioo 😜😜!!Ila uzuri wako huwa unarudia tu
Tena picha zako hazikinai kuangalia 🤗
Kwanza kiburi cha kubisha wanakitoa wapi?Huo ndo ukweli. Anayebisha ana chuki binafsi na anapaswa kufungiwa jiwe la kusagia na kutoswa baharini tu kwa sababu hakuna namna!
Ngoja tumsubiri Boss Lady. Naamini hatatuacha hivi hiviKwanza kiburi cha kubisha wanakitoa wapi?
Ngoja boss ledi ashushe tena mzigo kufunga huu mjadala
Hamna imeisha hioo 😜😜!!
Kwani mnaongelea nini Anne??Kwanza kiburi cha kubisha wanakitoa wapi?
Ngoja boss ledi ashushe tena mzigo kufunga huu mjadala
Dagaa hao jamani😍😋😋😋Nitumie basi hizi zaga 😋👌View attachment 2164428
Hajawahi acha wafuasi wake tusononeke.Ngoja tumsubiri Boss Lady. Naamini hatatuacha hivi hivi
Nawewe tupia...acha kunijazaHaiwezekani huu uzi tunaona picha za watu za kawaida kawaida tu na wakati boss ledi wa kutupia picha kali upo
Picha kali za boss wetu na nusu..Kwani mnaongelea nini Anne??
Tunajua boss ledi atatupia ya kutufanya tulale usingizini mzuuri.Hamna imeisha hioo 😜😜!!
Naamini atatenda!Tunajua boss ledi atatupia ya kutufanya tulale usingizini mzuuri.
Yaani tukiona kababy face sisi haoo tunalala murua
niTunajua boss ledi atatupia ya kutufanya tulale usingizini mzuuri.
Yaani tukiona kababy face sisi haoo tunalala murua
Halafu unashangaa eti kuna mtu siyo mfuasi wa boss ledi!Naamini atatenda!