Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Halafu unashangaa eti kuna mtu siyo mfuasi wa boss ledi!
Sasa usipokuwa mfuasi wa boss ledi utakuwa mfuasi wa nani Tena???

Sisi tunasimama na boss ledii..
Hatutaki kuwa wafuasi wa watu wengine waswahili Swahili...boss ledi ni pisi kali.
Mnyakyusa una mdomo weweee[emoji28][emoji1][emoji1][emoji1]

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Wengine tusitume[emoji1][emoji1][emoji1][emoji2][emoji1]wwnye shepu kama bapa

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Hata wewe napishanaga na selfie zako siku hizi sijui kwa nini. Wasukuma wangu wanaendeleaje huko lakini? Senene wanakula? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Back
Top Bottom