Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,192
- 183,007
Hahahaaa..leo sina mambo mengi kabisa nakuja kuwawish good night tu baassi [emoji8]Nina uhakika pasi na shaka utaweka tena shemeji aone
Hahahaaa..leo sina mambo mengi kabisa nakuja kuwawish good night tu baassi [emoji8]Nina uhakika pasi na shaka utaweka tena shemeji aone
D yuko vizuri sana kwenye mapishiAliyepika huu mlenda ni fundi[emoji119]
Weekend hii,,mwambie i am available anytime twende outAbee semeji!!
Hahahaaa.....leo nalala mapema kabisa!Nina imani na boss ledi kuwa anatuanzishia weekend na picha zake kali kama kawaida yake
Kumbe sipo pekeyangu ninayekulaga mlenda na waliVitu vyangu hivyo, hapo nikipata na ugali pamoja na dagaa+biringanya vilivyokolea karanga[emoji39][emoji39]
Ila mlenda napenda hata na wali unaenda[emoji39]
Tuanze kwanza na hizo alizopitwa shemejiHahahaaa..leo sina mambo mengi kabisa nakuja kuwawish good night tu baassi [emoji8]
Ni tamu sana jamaniKumbe sipo pekeyangu ninayekulaga mlenda na wali
Huo mlenda[emoji119]D yuko vizuri sana kwenye mapishi
MnoNi mtamu sana jamani
Tunasubiri ushushe vituHahahaaa.....leo nalala mapema kabisa!
Haya nipe mama malezi. [emoji7][emoji7][emoji8][emoji8]Hapana. Ngoja nikupe code ukuje
Niombe recipe dogoAliyepika huu mlenda ni fundi[emoji119]
Umeenda shuleHuo mlenda[emoji119]
Me naomba video kabisa, toka majani na bamia vinakatwa katwa hadi hyo final product imetokeaNiombe recipe dogo
Me ndiyo fundi mwenyewe
🤣🤣
MnoUmeenda shule
Wachaaa[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Usiku mwema friends!!View attachment 2164405
Nielekeze dogo[emoji16]Niombe recipe dogo
Me ndiyo fundi mwenyewe
[emoji1787][emoji1787]
Af kweli inawezekana hawajatest, siku mtu akijaribu halaf akaskilizia utamu hatoachaMno
Nashangaa watu huwa wanashangaa na wakati hawajawahi kujaribu
Sasa hapa ushachelewa 😂Me naomba video kabisa, toka majani na bamia vinakatwa katwa hadi hyo final product imetokea