Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,758
Amen. 🙏🙏🙏.. ama kweli leo ni siku nzuri.. huwa nikikaa polini sehemu iliyojitenga na watu.. basi upako huja inabaki kutafakari uzuri na ukuu wa Mungu
Naona leo umejaa upako Mtumishi. Safi sana![]()







