Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,830
Besti maza evaaa !!![emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Ngoja kwanza nibembeleze Aunts zako walale hapa!View attachment 2163400
Besti maza evaaa !!![emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]Ngoja kwanza nibembeleze Aunts zako walale hapa!View attachment 2163400
[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji28][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji28][emoji28][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]!!!!Mbona unacheka na wew Ni mtaalamu eeeh
Can't wait, soon patanihusu hapoPale Boma
Uta enjoy sana
Nilikua dar last week nilijutaaa!joto kama mmebanikwaa!afu feni sipendi miyee!Natumia pangaboy 24 hrs feni inazunguka
Ila hewa ya nje pia ina umuhimu..
Feni pekeyake inaniletea kifua[emoji19]
Muda wote najiloweka bafuni..nikija najitupa kitandani napulizwa na feni hadi najisikia vizuri.
Kuna mikoa tumevamia tu..haitufai
Hahahaaa hakika shughuli imempata mwenyew@mahondaw eti shouzzzzzzzz rangi ya sare ya harusi ni ipi?
Rangi 4? Bi harusi na msimamizi, ndugu wa kikeni, ndugu wa kiumeni, marafiki, ndugu, na jamaa.
Kwa Mr nae rangi 4, ila atachagua yeye, simuingilii [emoji23][emoji23][emoji23]
Haya shouzzzzz sema rangi hapa.
Niweke na safariKizungu mpaka mmea uote [emoji1787][emoji1787]
Umedamshi mnooo dea, [emoji4][emoji4][emoji8][emoji8][emoji177][emoji177]
Usiwaze kabisa dia mie tena nitajiachia nitacheza mnooo...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] msimamizi wangu ni wee apo, jipange unajua show zangu lakini, nataka hiyo siku n matashtiti na kuchachuka noo kupoa yaan.
Mkweee!!![emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]umekata utumbo?!!!sielewiii!!!shepu it hazi goneli to whea!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siku hiyo mtashangaa mbna. Mambo ni full kunoga.Hahahaaa hakika shughuli imempata mwenyew
Weeeehh!!!aririririririiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] msimamizi wangu ni wee apo, jipange unajua show zangu lakini, nataka hiyo siku n matashtiti na kuchachuka noo kupoa yaan.
Usije pania ukaja kua mwl kigego tuu!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siku hiyo mtashangaa mbna. Mambo ni full kunoga.
HuyoFan? Au zinaleta mafua
Sleep wizaut lingarie or na birth suit, joto utalisikia redioni
watu weuweeeeeeeeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usiwaze kabisa dia mie tena nitajiachia nitacheza mnooo...
Mlongo andaa tyuuh hela ya sare na, michango tyuuh,Weeeehh!!!aririririririiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aaaah wapi wee hakna hiyo.Usije pania ukaja kua mwl kigego tuu!!!
Shouzzzzzzzz wee, hilo shape c unigawie mie kidogo bas nawee.Haya Usiku mwema wapendwa . Mlale unono.[emoji42][emoji42][emoji42]View attachment 2163421