cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,161
- 181,296
Mimi napenda kweli kupaka hinna kwenye kucha na nunua zile ambazo zinauzwa madukani zimeandaliwa tayari na kweli kucha zangu ni fupi nikitaka kupaka rangi naongezea kidogoHuwa nasikia hina ya majani,og sio hizi za dukani au za kuunguza zinaharibu kucha !
Jaribu hiyo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisaaa yaan.Ahad ya jana hajatimiza
Nitakuandalia mjukuu. Usiwe na wasiwasi. Usipokuwepo hata kwa Majaliwa nitakuletea...Kabisaaa yaan.
Nina picha zako zote ambazo umeshawahi kuweka humu soulimeti. Usinikorofishe!Mbona tupo wengi tu mkuu![]()
Sasa acha kutumia hina ya dukani!Mimi napenda kweli kupaka hinna kwenye kucha na nunua zile ambazo zinauzwa madukani zimeandaliwa tayari na kweli kucha zangu ni fupi nikitaka kupaka rangi naongezea kidogo
Duh ile nitaipata wapi ila nitapambana,Miti ya mhina imeadimika sanaSasa acha kutumia hina ya dukani!
Tumia hina ya majani kabisa ile og we unaijua, tumia kwa muda kwanza!
Sent using Jamii Forums mobile app
Na nikitaka nywele zangu ziwe nyekundu nifanyeje naomba unishauriSasa acha kutumia hina ya dukani!
Tumia hina ya majani kabisa ile og we unaijua, tumia kwa muda kwanza!
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi hapo utapiga km pele.Nitakuandalia mjukuu. Usiwe na wasiwasi. Usipokuwepo hata kwa Majaliwa nitakuletea...
Paka hinna ile origanal sio zile za dukani unatwanga unapaka kichwani then unasubiri ikauke niliwahi ona mtu anafanya hivi rangi ya nywele ilibadilikaNa nikitaka nywele zangu ziwe nyekundu nifanyeje naomba unishauri
Nakuaminia mjukuu. Na lile ombi lako uliloniuliza jana nitakujibu huko!Basi hapo utapiga km pele.
Yaan utaupiga mwingi mnoo.
heeee. Maganda mabichi kabisa?Paka hinna ile origanal sio zile za dukani unatwanga unapaka kichwani then unasubiri ikauke niliwahi ona mtu anafanya hivi rangi ya nywele ilibadilika
Unakausha kwanza then unatwanga kupata unga wake mpendwa,Ukiachana na njia hii kuna dawa ya nywele inaunzwa maduka ya vipodozi kubadilisha nywele kuwa nyekunduheeee. Maganda mabichi kabisa?
Nina picha zako zote ambazo umeshawahi kuweka humu soulimeti. Usinikorofishe!


Asante. Ukipata hiyo dawa pls tupia picha then nitag.Unakausha kwanza then unatwanga kupata unga wake mpendwa,Ukiachana na njia hii kuna dawa ya nywele inaunzwa ya kubadilisha nywele kuwa nyekundu
Bas sawa babuuh, hapo sasa fresh.Nakuaminia mjukuu. Na lile ombi lako uliloniuliza jana nitakujibu huko!
Nawe piaAsante. Ukipata hiyo dawa pls tupia picha then nitag.
Goodnight.
Tatizo ni kizunguNawe pia


Kama na wewe upo hilo kundi basi wakukamue tu hadi ubongo wa kumwaga materials pale yudii Kwa akina cocastic


