Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,771
dah! haya basi wacha nilale sina bahati na weweUmechelewa wapi nimetupia
dah! haya basi wacha nilale sina bahati na weweUmechelewa wapi nimetupia
Uko poaDah mkuu wewe[emoji23][emoji23]
asanteEwaaaaah hapa sasa ndo penyeweee, [emoji7][emoji7][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Sio hina,ni rangi tu! Inataka kufanana na hinaInependa jinsi alivyochanganya hiyo rangi ni hinna ama picha ya pili
Wapo mkuu, karibu sana na delivery ipoUko poa
Senene wapo[emoji848]
Nimeisevu picha yako nikifuta hii nitachora kama hivyo nzuri sana😍
AsanteAiseeeeeh kucha nzuri mnooo [emoji4][emoji4][emoji8][emoji8][emoji177][emoji177]
Una vikucha vizurii😘, zangu ni mbaya jamani😒Watu tuliokosa usingizi leo[emoji3]
wapenda kucha tupo wengi kumbe!
View attachment 2163451View attachment 2163452
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa,karibu dearNimeisevu picha yako nikifuta hii nitachora kama hivyo nzuri sana[emoji7]
[emoji120][emoji120]Una vikucha vizurii[emoji8], zangu ni mbaya jamani[emoji19]
Ni laini hazifugiki hata, na ni panaa si kama hizo zako ziko shaped hivi, zangu kama tangawizi aki[emoji120][emoji120]
Unakula kucha? Km huli,fuga!
Au ni laini sana?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kucha laini unaweza kutumia njia gani kuwa ngumu[emoji120][emoji120]
Unakula kucha? Km huli,fuga!
Au ni laini sana?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona tupo wengi tu mkuu😜My theory stands...probably forever!
"Hakuna binti wa Kinyaki asiye na li/kishundu" - SYB 2022
Watakuja kuisoma hii vizazi na vizazi huko mbele ya safari na si ajabu nikawa femazi kama Einstein [emoji16][emoji16][emoji123]
[emoji3]jmn eti km tangawizi!Ni laini hazifugiki hata, na ni panaa si kama hizo zako ziko shaped hivi, zangu kama tangawizi aki
Huwa nasikia hina ya majani,og sio hizi za dukani au za kuunguza zinaharibu kucha !Kucha laini unaweza kutumia njia gani kuwa ngumu
Ahad ya jana hajatimiza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo nn sasa, hebu weka bhana aaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unazani naweza nitakuta asubuhi sms umemaliza kifurushi chako hali ya kuwa nilipitiwa na usingizi
Usijar [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Akiweka nistue mpendwa [emoji51]
Safi sana mpendwaaa [emoji7][emoji7][emoji3590][emoji3590]asante
Mi napenda sn!
Ila sipendi za kubandika!
Moja nimekata,moja nimefuga kidogo[emoji3]na hiyo ndo rangi nayoipenda mara nyingi niko na hiyo aqua green ,sijui ndo yaitwa hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app