Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,230
Chaap 📸
Mwenyeji wetu yupo Tengeru😂Emu usinivuruge 🤣🤣🤣
Ndioooo😊Mapokezi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo Depal [emoji1787]Wigelekelo
Noooo haujadandia, pls usifikirie vibaya.
Ulinielewa vzuri na nilihitaji direction
Huyo aliniambia atanipeleka ndio maana nilimtag hapo
Sina taarifa 🚶🏻♀️🚶🏻♀️Mwenyeji wetu yupo Tengeru😂
Angalia yasije tu kukugeukia
Asubuhi yote hii hata maji sijanywa anataka kunilipizia nini tena? 🤣
Ipo sana nyumba za uswazi unapata, we ulizia tu wanauza!Duh ile nitaipata wapi ila nitapambana,Miti ya mhina imeadimika sana
Nyekundu?!! Kama hawa wanoweka rangi? Sijui dear,mi sio mpenzi wa kuweka rangi kabisa!Na nikitaka nywele zangu ziwe nyekundu nifanyeje naomba unishauri
Aah kwa hina sawa,kwanza ni og sio km hayo marangi ya dukaniPaka hinna ile origanal sio zile za dukani unatwanga unapaka kichwani then unasubiri ikauke niliwahi ona mtu anafanya hivi rangi ya nywele ilibadilika
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji119]View attachment 2163468
Kwa kweli[emoji18]
[emoji2][emoji2][emoji2]sio kwa kamwili hako...loh loohh!pliiiz I want zile nyama nyama bwana zinaisha sanaa