Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,830
Afadhali...
Kesho watanikoma! [emoji1727][emoji1727][emoji1727][emoji1734][emoji1734]
Afadhali...
Kukikucha mamii had nipige sina hata moja[emoji4]
Kwani hapa tunafanya nini? Humuoni Kelsea? [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
[emoji23]Afadhali...
Kesho watanikoma! [emoji1727][emoji1727][emoji1727][emoji1734][emoji1734]
Tunapiga storyKwani hapa tunafanya nini? Humuoni Kelsea? [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Kule juu si mmetunanga kuwa wanaume wote wa JF tumeoa. Hooovyo!Yaani; si mnapata kuchagua sasa? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu siyo uzi wa story
HahaaKule juu si mmetunanga kuwa wanaume wote wa JF tumeoa. Hooovyo!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] utani tu jamaniKule juu si mmetunanga kuwa wanaume wote wa JF tumeoa. Hooovyo!
Yes shouzzzzzzzz ake, nawee pia.Naona watu wamevurugwa kule wanatoa stress hahahaaa.... Naomba nikalale tu shos see you tomorrow!
Have a good night pipoz!! [emoji2216][emoji2216][emoji42][emoji42][emoji113][emoji113]
Mlitaka kupata kesi hahaa
Selfika basi hata kama ni skuna tu na wewe kha!
Nasukaga ndyoo.Unasukaga?¿
Njoo uyale
Acha tuMlitaka kupata kesi hahaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niseme nini basi?
[emoji23]
Anataka eti tuwe tunasema kama tumeoa point blank at the get go. Tukiwa wawazi tutamgegeda nani? [emoji16]Mlitaka kupata kesi hahaa
Hizi kucha ni za Coca wengine hazituhusu. Mjukuu Coca enjoy hizi kucha maridadi. Mi nimepambana sana niwekewe selfika sikufanikiwa. We umekuja tu paap unawekewa kucha. Siku nikimuona boya aliyesema eti binadamu wote ni sawa atanitambua.
Anataka eti tuwe tunasema kama tumeoa point blank at the get go. Tukiwa wawazi tutamgegeda nani? [emoji16]
Kuweni wawazi tu..unajua kuna wanawake hawanaga noma uwe umeoa ama hujaoa kwake ni sawa tu na ukiwa muwazi utakua huru babe mchepuko hatakusumbua ila ukidanganya sasa unajitafutia mabalaa zaidi. Kwa hyo kama mna ndoa jaman tuambieni tu tutachagua wenyewe nje ama ndaniAnataka eti tuwe tunasema kama tumeoa point blank at the get go. Tukiwa wawazi tutamgegeda nani? [emoji16]