Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,970
- 35,342
Byuriful

Byuriful

Mambo si haya sasa. Halafu nimeona peke yangu. Kesho nitawaringishia watanikoma!
Asante sana. Sasa unaweza kwenda kulala kwa amani![]()

Na mimi nipooo 🤣😞Mambo si haya sasa. Halafu nimeona peke yangu. Kesho nitawaringishia watanikoma!
Asante sana. Sasa unaweza kwenda kulala kwa amani![]()
Toa hoja Mama mchungaji. Kwenda zako huko siyo jibu wala hoja ya kumwambia mtuKwenda zako huko![]()



Toa hoja Mama mchungaji. Kwenda zako huko siyo jibu wala hoja ya kumwambia mtu![]()
Basi kesho tutashirikiana kumringishia Anna na wengineoNa mimi nipooo![]()



Anatupanga tu hapa anatunyima picha makusudiPicha labda unitumie ya ku-google huko; haiwezi kuwa yako, coz you are not 76
Mbona umefuta guu jamaniAnatupanga tu hapa anatunyima picha makusudi
Kweli. Simu yangu naona inakaribia kumaliza moto kabisa...Asante sana. Angalau leo nimekuona. Ulale salamaMlale sasaView attachment 2162295
Tulale sasa usikuMbona umefuta guu jamani

Umeona eeeh!Guu guu
Good Night...kukikucha tunaomba ahadi ututimizie eehKweli. Simu yangu naona inakaribia kumaliza moto kabisa...Asante sana. Angalau leo nimekuona. Ulale salama
Usiku mwema jamani. Au tupate moja ukiwa umesimama basiTulale sasa usiku![]()
Yaani; si mnapata kuchagua sasa?Umeona eeeh!
JF hii kuna pisi kali sana mpaka inakera yaani!



We ndo umegoma? Hooovyooo!