Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Tukisema ukweli
Mnadai uongo
Tukisema uongo
Mnajaa kichwa kichwa
Sijui mnataka nini
Kumbe na wao hawaeleweki eeh?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukisema ukweli
Mnadai uongo
Tukisema uongo
Mnajaa kichwa kichwa
Sijui mnataka nini
Twenzetu kibambaAsante mjomba
Mmhh hapana nina kinyaa mimi [emoji28]
Ingekuwa nyama choma ungenishawishi
Binti Abiud from TurkeyBinti wa Mwakiswelelo [emoji23]View attachment 2162147
[emoji1787]Asante sana bhageshi nimefika salama [emoji120][emoji120]
Ushaanza weekend rafiki .Twenzetu kibamba
Kesho
Yaani sijuiHalafu binti jana eti anakuuliza kama una pumzi. Aje ajionee hapa sasa japo Wige alitoa ufafanuzi wa kina mpaka na migagani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji870][emoji870][emoji870]
[emoji1787]Ya rangi ataileta baba mtumishi [emoji23]
Vurugu tupu
Nyama chomaUshaanza weekend rafiki .
Kibamba kuna nini huko ?
Ooh vyemaNyama choma
[emoji1545][emoji1545][emoji1545]Binti wa Mwakiswelelo [emoji23]View attachment 2162147
Hahaa tunaisubiriYa rangi ataileta baba mtumishi [emoji23]
Sijawahi bahatika kuona selfi yako🤒🤒
Kweli? Utaipata basiSijawahi bahatika kuona selfi yako🤒🤒
Ndioo. Nasubiri 😋😋Kweli? Utaipata basi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee una nn lakini? Hahahah