DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,311
- 109,512
Ha ha ha...karibu Sana chief[emoji4]Nimerudi huku motoni kwenu brother [emoji846][emoji846]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha...karibu Sana chief[emoji4]Nimerudi huku motoni kwenu brother [emoji846][emoji846]
Hahaa nkamu samaki za njiani sinunuagi kabisa maana sipendagi kula samaki ambazo hazina vitunguu swaumu na tangawizi labda dagaa [emoji1][emoji1]Nangurukuru moja hiyo
Usisahau samaki nkamu
Ooh thank you .Poa sana tunakimiss tuu.
Hii ni kama memes tu
Napitaga kimya kimya sana, mimi miongoni mwa wa kwanza kabisa hapa selfka ila ndio kuchangia sasa! Na ikipita leo sijui ni lini tena labda niwe msomaji tu.Ooh thank you .
Karibu selfika
Ndo nakuona leo humu au ulikuwa unapita kimya kimya .
Ooh okay .. uwe unakuja kutusalimia mara moja Mkuu .Napitaga kimya kimya sana, mimi miongoni mwa wa kwanza kabisa hapa selfka ila ndio kuchangia sasa! Na ikipita leo sijui ni lini tena labda niwe msomaji tu.
Haswa wewe nitakua nakupa like na haiOoh okay .. uwe unakuja kutusalimia mara moja Mkuu .
Shukrani [emoji120][emoji120]
[emoji1545]Haswa wewe nitakua nakupa like na hai
Karanga mbichi na Goma
Halafu binti jana eti anakuuliza kama una pumzi. Aje ajionee hapa sasa japo Wige alitoa ufafanuzi wa kina mpaka na migagani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji870][emoji870][emoji870]
Naomba niletee
Nice dress😍 japo umetubania rangiBinti wa Mwakiswelelo [emoji23]View attachment 2162147
Nimemshangaa sanaAcha kutupeperushia ndege bwana wengine hatujaoa
Ya rangi ataileta baba mtumishi [emoji23]Nice dress[emoji7] japo umetubania rangi
Tukisema ukweliMnanidanganyia sana mabinti zangu; hamsemi kama mmeoa. Waambieni tu ukweli, ili wakiamua kuwadangia wawadangie tu wakijua hapa hakuna future.
Angalau kwa Baba Joy tunajua kuja Joy[emoji1787][emoji1787]