ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,529
- 119,459
Maoni yako kwanza, then sisi tutachangia!
Maoni yako kwanza, then sisi tutachangia!
Waiting for u....Cha usiku nitakiandaa kwa ajili yako kwa maana nitakuwa nimerejea home

Wapi hapa chief
Ngoja nimalize kusoma brod darlingMaoni yako kwanza, then sisi tutachangia!
Kwa mamaJKaribuni Breakfast....![]()

Hapana, nlkua ofsinKwa mamaJ![]()

Dah, kuna sentence sijui mbili tu, bado unazisoma?
Ooh nilimaanisha ngoja nimalize kusoma kitabu chote. Nijue ndani anasemaje kwanzaDah, kuna sentence sijui mbili tu, bado unazisoma?
Wee mlongo hawa mie huwa nawakaanga tyuuh.cocastic njoo tutengeneze,tuchemshe supuView attachment 2161355




Wooooow darling akee,Nipo poa vipi wewe
Wow nimefurahi kusikia hivyo , you're such a darling![]()






Wee mwanamke...Baba J![]()






Yupi huyo?Aisee mkuu
Mbona kama handsome sana aisee.
Wewe handsome mno Jamani.
Humu amekuzidi tu mwamba imara mmoja.




Tuone basi
Naona mama J ana macho kama yangu..
Wewe ni wa pili Kwa handsome mkuu .
Akitoka yule mwamba unafuata wewe.







Au wewe umeonaje
