Mkuu uneficha sanaaaKaribuni Breakfast....View attachment 2161390
Mkuu uneficha sanaaaKaribuni Breakfast....View attachment 2161390
Daaah sijui nilie
Nkamu unasinzia wewe😅😋😅😅😋Daaah sijui nilie
Bata usajiri na maelekezo kutoka kwa mama mcgungaji Heaven SentHa ha ha....
Mi bado mgeni humu![]()
Hapana, nimegeuza tu shingo, narudi kitu holaa. Fanya kurudia ya mwisho basiNkamu unasinzia wewe😅😋😅😅😋
Kumbe mna Hadi uongoz humu?Bata usajiri na maelekezo kutoka kwa mama mcgungaji Heaven Sent

Nangurukuru moja hiyoTime to eattView attachment 2161417
...
Tulikuwa kwenye kitimoto





Ndio ile ya kaunda suti eh?
Kweli ulikua macho 😅😅😅😅
Aisee mkuuKaribuni Breakfast....View attachment 2161390
Hapana, hii kavaa Shati fulani amazingNdio ile ya kaunda suti eh?