DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,311
- 109,416
Uhandsome umeuona wapi, wkt Apo nmezibwa na umaAisee mkuu
Mbona kama handsome sana aisee.
Wewe handsome mno Jamani.
Humu amekuzidi tu mwamba imara mmoja.
Uhandsome umeuona wapi, wkt Apo nmezibwa na umaAisee mkuu
Mbona kama handsome sana aisee.
Wewe handsome mno Jamani.
Humu amekuzidi tu mwamba imara mmoja.
Sina neno

Unaonekana kwa mbali..Uhandsome umeuona wapi, wkt Apo nmezibwa na uma

Ha ha ha...Unaonekana kwa mbali..
Kama unabisha achia umma tuone
Kumbe na wewe umeona nilichokiona mamaAisee mkuu
Mbona kama handsome sana aisee.
Wewe handsome mno Jamani.
Humu amekuzidi tu mwamba imara mmoja.
AiseeKumbe na wewe umeona nilichokiona mama
Aah wacha mama J akugande bwanaKaribuni Breakfast....View attachment 2161390
Aisee mkuuHa ha ha...
Unanikoki eeh?
Siachii
Humu kuna mahandsome wa nguvu hatar hatarAisee
Naona bonge la mtu
Acha zako wewe, chai iyoAisee mkuu
Unatunyima nini sasa??
Wee nae huishiwagi Maneno.Aah wacha mama J akugande bwana
Tuone basiAcha zako wewe, chai iyo
Usitishike mkuu, wewe ni lejendariHa ha ha ha .....
Mbona unantisha Sasa?
Tuone basiAcha zako wewe, chai iyo
Muongo,Tuone basi
Naona mama J ana macho kama yangu..
Wewe ni wa pili Kwa handsome mkuu .
Akitoka yule mwamba unafuata wewe.
Mzee ulikimbia jukwaa letu kule kwa kanji wahuni wamekumis sanaKaribuni Breakfast....View attachment 2161390
Kuna wapuuz flan walinitibua kushare kule kazi zangu kuleMzee ulikimbia jukwaa letu kule kwa kanji wahuni wamekumis sana
