Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,199
Mno yaaniHumu kuna mahandsome wa nguvu hatar hatar
Sema yote kwa yote yupo aliyewapita wote.
Mno yaaniHumu kuna mahandsome wa nguvu hatar hatar
Tuombe mungu, one day ntaachia full[emoji4][emoji16][emoji16] boss nasema ukweli
Poa kamanda wale wahuni bado wapo wajuaji balaaKuna wapuuz flan walinitibua kushare kule kazi zangu kule [emoji4]
Tuone sasaMuongo,
Umeona kidevu TU, sura hujaona at kdg.
Au useme ummhandsome unazungumzia wa huo uma
Mnatumia Vigezo gan kuujua uhandsome wa mtuMno yaani
Sema yote kwa yote yupo aliyewapita wote.
Utaninong'oneza [emoji16]Mno yaani
Sema yote kwa yote yupo aliyewapita wote.
Oyoooo usiache kunitag plsTuombe mungu, one day ntaachia full[emoji4]
Worry outOyoooo usiache kunitag pls
Tunaangalia muundo wa shingo na kidevu bwana ishatoa picha kamiliMuongo,
Umeona kidevu TU, sura hujaona at kdg.
Au useme ummhandsome unazungumzia wa huo uma
Duh! Nyie mtakua FBI Sasa[emoji848]Tunaangalia muundo wa shingo na kidevu bwana ishatoa picha kamili
[emoji1787] hamna bwana...vitu vizuri havijifichiDuh! Nyie mtakua FBI Sasa[emoji848]
[emoji39]umeandaa wewe? Au Ni cafe
Cafe mkuu karibu[emoji39]umeandaa wewe? Au Ni cafe
Mi nshashiba,Cafe mkuu karibu
Cha usiku nitakiandaa kwa ajili yako kwa maana nitakuwa nimerejea homeMi nshashiba,
ungeandaa ww ningekula ata kwa kujilazimisha[emoji4]