Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,771
goja nije nikupige tukio live ndio utaelewaSuala la utapeli ndio huliwezi 🤣
goja nije nikupige tukio live ndio utaelewaSuala la utapeli ndio huliwezi 🤣
Hahaha komwe ni hindranceMbona kikomwe kuzuia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pruuuuugoja nije nikupige tukio live ndio utaelewa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wee unanichekesha mno mie uwiiii.Ngoja niende kwa kithura [emoji2088]
Weka tyuuh.Mkono wa mzee wa miaka 76 unaujua wewe? Unataka ukalale na nightmares? [emoji15]
Hata ugomvi hafananii naoAnafurahisha sana [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna Moja nilitaka niipige na mamaj niweke humu,
Bahat mbaya kaniponyoka HARAKA[emoji4]
KaribuHAPPY BIRTHDAY TOME AJITOKEZE MTU ANIALIKE PILAU NA KACHUMBALI NITAMSHUKURU
HahahaKweli zinatusave mno
Nilitaka kusuka style kama hii hapo msusi akaniambia haitowezekana kikomwe kinazuia View attachment 2161330
Hbd kwake toto[emoji3590]Mwanenu huyo sasa mtu amnange tuuaneView attachment 2161310View attachment 2161313
Anafurahisha sana 🤣
Ni mbingu na ardhi.
Unakuta upo nako hapohapo kanatype,kalichokitype ukisoma,,ukikaangalia usoni yaani unabaki unacheka.
[emoji1317]Hbd kwake toto[emoji3590]
Naomba nione mie hiyo.Awapi!![emoji12][emoji12][emoji12][emoji8]
Vale umemissikaMorning my love [emoji8]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]70 naokotea wapi na hela sina [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Afu kuna watu tena wananiongezea stress kwa kuja kuniibia..
Ila dunia haina usawa Dah [emoji119]
Kuna ile picha yako umepiga pensiMkono wa mzee wa miaka 76 unaujua wewe? Unataka ukalale na nightmares? [emoji15]
Wee shouzzzzzzzz, taratibu bas jomoneee mmmh.Ashindwe tena ateketee.... sitaki maradhi mie kayakoroga ayanywe na wakwao!! [emoji108][emoji108][emoji108]
Sandols nu nzuriiii, [emoji7][emoji7][emoji7]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe ndo maana najiamini[emoji23]