ndio naelekea kwa bed hiviπΆπ½ββοΈπΆπ½ββοΈπΆπ½ββοΈπΆπ½ββοΈπΆπ½ββοΈπΆπ½ββοΈπΆπ½ββοΈπΆπ½ββοΈπΆπ½ββοΈπΆπ½ββοΈπΆπ½ββοΈπΆπ½ββοΈπΆπ½ββοΈπΆπ½ββοΈπΆπ½ββοΈBado upo mpendwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Bina ungejua Nina kilo 50Wancheka eeehhh!
Kuna picha yako imenipitaπ
Duuu heshima kwakondio naelekea kwa bed hivi[emoji2216][emoji2216][emoji2216][emoji2216][emoji2216][emoji2216][emoji2216][emoji2216][emoji2216][emoji2216][emoji2216][emoji2216][emoji2216][emoji2216][emoji2216]
Picha gani tena?Kuna picha yako imenipitaπ
Nililala
Ni kagari kazuri kwa kweli. Nilikanunua 0KM na nimeshakasukuma masafa ya kila aina. Hakina tatizo lo lote. Sema wameshaacha kuvitengeneza ningekula mchicha kwa miezi kadhaa ninunue kengine kapya nije nako kutanulia. Nadhani viko vichache huko. Unaimarisha tu suspension kidogo masafa ya kutoka Dar - Usukumani kinafika aisee. Nilishawahi kukasukuma kutoka Georgia - New York na kugeuza mpaka California - Utah na kurudi Georgia bila ishu yo yote...na kanatazamika...na kako juu kidogo...[emoji3] Fj cruiser kama gari ya vitani, muonekano wake upo kikazi sana haitabasamu kama RR.. downgrade uende kwenye G-wagon [emoji51][emoji51]
Ya wapi?Yaliyomo yamo[emoji4]
Ngoja niende kwa kithura πββοΈUsiku mwema guizz, byeeeeh.
Coca waz hia,..........
Mkono wa mzee wa miaka 76 unaujua wewe? Unataka ukalale na nightmares? [emoji15]Ndyo bhana selfika hata mkono khaaah.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona uliniquote..Picha gani tena?
[emoji2][emoji2]sante nshapoa sasa hivi atakua dereva wanguPole sana.. siku ingine unamcheki tu Fortnox mnatembea safi. huku unabadili mikao.. wish si uliugua kabisa.. alafu namchezo sana wa kuchukua vichwa CBE hadi kuna siku nikaoata abiria wa kudumu [emoji3][emoji3][emoji3]
MfyuuuuBina ungejua Nina kilo 50
Ha ha ha ....wee mkorofi Sana ujue[emoji4]Wewe speed yako ni kwenye kuiba tu kibubu [emoji1787][emoji1787]
Uko underweight. Uzito wako sahihi ni kilo angalau 70. Halafu uvae sasa hilo gauni la leo mweh![emoji2099][emoji2099][emoji2099]Bina ungejua Nina kilo 50
Wana jina lao....Ishu sio kiloo,ishuuu mzigoooo.
Wanawake wa humu wooote wazuri, hongereni sanaa
Nyie watu mna balaa[emoji4]Uwiiiiih