Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,830
Nilikuwa barabarani uliporusha ile ya mwanzo fasta nikatafuta sehemu nikapaki isinipite. Polisi kaja kaniuliza are you OK nikamjibu I am OK officer huku moyoni najisemea ofisa boya naye huyu. Hata hajui kuwa Bosi Ledi huku keshashusha mambo. Rahaa! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Tena nilikutag wewe tu!!