Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mlinzi my foot
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] haya mambo ni usiombe.

Ofisini kuna mlinzi tena wa kampuni, kuna cctv na bado wajuba walituingilia.

Huo wizi uliachaga rumors sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa mie huyu, huyo mwizi ataiba huku namtazama tyuuh, najijua sina nguvu hata ya kusogea alipo. Uwiiiih.

Usinitishe plz bhana wee.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa mie huyu, huyo mwizi ataiba huku namtazama tyuuh, najijua sina nguvu hata ya kusogea alipo. Uwiiiih.

Usinitishe plz bhana wee.
Jirani mwingine wamepasua vioo..alilock..wamebeba tv

Hivi hujiulizi wamepasuaje hadi kubeba tv hashtuki tu!
Wana dawa[emoji23] + mvua ya leo
 
Back
Top Bottom