cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,313
- 187,969
Bora asiwe mjinga kuvitupa chooni au kuvichana, aaah [emoji24][emoji24][emoji24]Na mimi ndipo nilipochoka[emoji1787]
Bora asiwe mjinga kuvitupa chooni au kuvichana, aaah [emoji24][emoji24][emoji24]Na mimi ndipo nilipochoka[emoji1787]
Na mimi nimeimagine angekua mwanaume saizi angekua anafanya niniDogo sipati picha ingekua mwanaume wewe! Punguza kunijaza bana!!!! Sina hata la maana!
Ndan ya ndinga [emoji7][emoji7]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wezi mchezo sasaa unadhan? LolBasi mimi ndio niliiweka huko[emoji1787][emoji1787]
Nimejifunza.
Ila wezi ni noma...sijui amepitia wapi hadi akaruka fensi[emoji119]
Sijawahigi kuibiwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Daah unapenda ndinga wewe. Ni sehemu tu nimekaa ndiyo nikapigaNdan ya ndinga [emoji7][emoji7]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dogo sipati picha ingekua mwanaume wewe! Punguza kunijaza bana!!!! Sina hata la maana!
Huyo kiboko. Mngekuwa roommates sasaNdio maana kumbe 🤣🤣🤣
Usinikumbushe Sakina 🤣 mpaka nilizoea kuibiwa. Siku hiyo sasa nikaibiwa mpk funguo.. nikasema huyu mbuzi anataka kunizoea, amechukua funguo means nikiwa sipo awe anaingia kama kwake?
Nilisepa mwendo wa ngiri hata kodi haijaisha..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
😂😂 pole sanaBasi mimi ndio niliiweka huko[emoji1787][emoji1787]
Nimejifunza.
Ila wezi ni noma...sijui amepitia wapi hadi akaruka fensi[emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ulichokula leo ulage icho icho
Kwetu watu wanavaa Hadi 42
Ooooh hapo sawaaah.Daah unapenda ndinga wewe. Ni sehemu tu nimekaa ndiyo nikapiga
Hiyo itakuwa 42 ya uongo[emoji23]Na hapo vinanibana hatari .
Hivi vindala sijui mchina alitengenezaje yeye .
Hahahha unamaanisha ndiyo [emoji28][emoji3][emoji3]
Hili la wakuziba nafasi tuendelee kua nalo mezani huku tukiburudika na picha. Siku za mbele nitakua na majibu yaliyonyooka.
We tema mate chini una ya maana mengi[emoji23]Dogo sipati picha ingekua mwanaume wewe! Punguza kunijaza bana!!!! Sina hata la maana!
Duuh mguu unaonekana mdogo. Mimi kwetu ndiyo nina guu kubwa; nashukuru hakuna wa kuniibia tuviatu twanguKwetu watu wanavaa Hadi 42
Nikifika dukani namwambia naomba size 41 haamini ananipa size 39 kuvaa hakinitoshi .
Tunakosa viatu vizuri hivi kisa miguu .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie huwa naogopa sana wezi. Nashukuru napoishi kuna mlinzi, huwa tunamlipa hela kwa mwezi.Ndio maana kumbe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usinikumbushe Sakina [emoji1787] mpaka nilizoea kuibiwa. Siku hiyo sasa nikaibiwa mpk funguo.. nikasema huyu mbuzi anataka kunizoea, amechukua funguo means nikiwa sipo awe anaingia kama kwake?
Nilisepa mwendo wa ngiri hata kodi haijaisha..
Hahha itakuwa [emoji28]Hiyo itakuwa 42 ya uongo[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We tema mate chini una ya maana mengi[emoji23]
Ningekuwa wa kiume sijui kwa kweli[emoji1787]
Sema hakijaharibika kitu...hizi sifa huwaga namsifia Pep hadi anaimba Hallelujah!