cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,132
Wee kwa shape sina unafiki umebarikiwa mwayaa.ya kawaida sana shos

Wee kwa shape sina unafiki umebarikiwa mwayaa.ya kawaida sana shos

Kuna wezi uchwara walikuwa wanawangia nyumba za watu.Kwani umekutwa na jambo gani cc? Hebu nambie kwan bas.
Basi sawa sio mie yes.Mmmmmh!!...Sidhani
Hapa umetupiga mkuu
Sasa nn?Mmmmmmmh
Unayo bhanaAwapi!
Atanijibia mahondawnijibu wee hapo bhana
Tobaaaaaah wee, sasa unafanyaje kwahiyoo?Kuna wezi uchwara walikuwa wanawangia nyumba za watu.
Nilijua mzimu,maana nimemdaka usingizini boya yule
Limetumbukiza mikono na limeondoka na mkoba wenye IDs mbalimbali mshamba yule pimbi.
Hahhaah nikauche ,nimekonda siku hizi .
Najuaa
HahaBasi sawa sio mie yes.
Sipo humu kwa ajili ya kukuaminisha wee.
Relaaaaax.
Bado tunaiadore. Hebu tubariki basi kidogo.Hahhaah nikauche ,nimekonda siku hizi .
Picha ile ya kitambo sana

Kwanini hamkuLock dirisha?Kuna wezi uchwara walikuwa wanawangia nyumba za watu.
Nilijua mzimu,maana nimemdaka usingizini boya yule
Limetumbukiza mikono na limeondoka na mkoba wenye IDs mbalimbali mshamba yule pimbi.
Niko poaaaah sana, nia yako niweke full eeeh?Haha
Kwema mkuu

Wee cc unaingia kwa Banks tyuuh.