Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Jirani mwingine wamepasua vioo..alilock..wamebeba tv

Hivi hujiulizi wamepasuaje hadi kubeba tv hashtuki tu!
Wana dawa[emoji23] + mvua ya leo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo home waliiba TV, laptop, cm afu sebulen.
Na hawakupasua kioo, wali unlock, afu dirisha walikata machuma Yale.
Tunaamka asubuh ni kilio tyuuh. Waliiba km wanachukua yaan
 
Back
Top Bottom