Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

20220322_115149.jpg
 
Weeehh sio kwahilo pozi.. mtu alivyoshikwa akashikika sasa!!...mmeendana kinoma noma pia mmependeza [emoji3577]
Tena hapo walikua mwanzoni mwa ndoa, huoni Pete ilivyokaa kimpya mpya, ila mama mchungaji kapata kitu full package, atake nn tena? Uwiiiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Boss lady hiyo blazer fanya tu unitumie huku nilipo. Afu ukija kui-rerock tena, valia shati/blouse ya rangi moja then koanane na mama Samiah sasa kwenye ile meeting yenu. Ila usisahau kunitumia hiyo blazer
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!! Sante sana fashionist ma mchungaji... Will do that...kwa kupangilia tu hujawahi niangusha kabisa!!!!✌️😘
 
Back
Top Bottom