cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,132
Kichuna,



Kichuna,



Hivi ni wewe ndie uliyeandika hilo neno hapo nililolibold au kuna mtu anaitumia jf yako mama!!







Ooh okayNaahidi sitawaangusha.
Me mwenyewe naona kabisa sijitendei haki.
Hahaha ,deni gani hilo rafikiHalafu mimi na wewe tuna deni fulani
Siku nikiamka na akili za jana yake nitakuja mpaka sebuleni kwako.
Yani ntamvizia penye watu wengi, namshika shati kwa kulikusanya shingoni
CC@Tinsley


jamani nitakuangalia kwa upole lazima utanisamehe tu.Weuweeeeeeeeh!!!




picha nzuri hatari
Hii sanitaiza ama pombe?Ninywe K VANT kwani mi mwanamke! 😄
View attachment 2160078
Weeee baba Mchungaji Yuko wapi?Weuweeeeeeeeh!!!
Nimemuona baba mchungaji leo,
Duuuh sijui niseme neno, au bas ngoja nikae kimya tyuuh.
Mmependeza sana mama malezi,
Couple km couple, woiiiiiiiih.
kwamba hujaweka ile uliosema ungeweka Usiku??Me mwenyewe nililala 🤣
waauweeeeehhhhhhhh! Mahaba niteketezeeee ✌️✌️✌️✌️! mmependeza sana!
Ni lile deni ambalo kila nikikutaka utimize unasema "siku nyingine"Hahaha ,deni gani hilo rafiki
Nikumbushe
Na ulivyo na jicho flan sasaa..jamani nitakuangalia kwa upole lazima utanisamehe tu.
Mimi mwenyewe bado nawaza hapaHivi ni wewe ndie uliyeandika hilo neno hapo nililolibold au kuna mtu anaitumia jf yako mama!!