Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ulipendeza dear .
Hakika wewe ni photogenic sio kwa kupenda picha za studio hivi .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu huwa inatokea bahati tyuuh, sio kwamba napendaga hivyo,
Mbna nyingi za mda nlikua naweka za kawaida, hiyo picha ilikua siku ya birthday ya class mate, ndo nlivofka pale nkaphotoa ya, studio hahahah.
 
Back
Top Bottom