Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu huwa inatokea bahati tyuuh, sio kwamba napendaga hivyo,
Mbna nyingi za mda nlikua naweka za kawaida, hiyo picha ilikua siku ya birthday ya class mate, ndo nlivofka pale nkaphotoa ya, studio hahahah.

Ooh sawa
Hahha unapenda picha bado, mimi hadi nipige ya studio kuna jambo [emoji1787][emoji1787].
 
ulipendezaje shos.. hujawahi niangusha kabisa...mammae modo flani ameizingggggg!!! potabo simpo n easy to Carry...
sante sanaa[emoji8][emoji8][emoji8]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] easy to handle, hahahah.
Nimekumbuka nn sijui awwww, ila wee shouzzzzzzzz khaaah.
Haya bhana mweeeh.
 
Ooh sawa
Hahha unapenda picha bado, mimi hadi nipige ya studio kuna jambo [emoji1787][emoji1787].
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] picha tamuu eti
Uwiiiiiioh.
 
Back
Top Bottom